Ripoti ya thuluthi mbili ya uwakilishi sawa wa kijinsia yawasilishwa bungeni

  • | KBC Video
    20 views

    Serikali imeelezea imani yake kuhusu utekelezaji kamilifu wa kanuni ya thuluthi mbili ya uwakilishi sawa wa kijinsia baada ya jopo lililochaguliwa kutafuta njia za kuafikia hitaji hilo kukamilisha wajibu wake na kuwasilisha ripoti yake kwa bunge wiki hii. Wakati huo huo, wizara ya masuala ya Jinsia imeunga mkono wito wa makundi ya kijamii wa kuhusisha wote katika kuafikia ushirikishi na uwezeshaji wanawake kiuchumi humu nchini.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive