Ripoti yafichua jinsi e-citizen ilivyotumika katika ufujaji wa pesa na malipo yasiyo halali

  • | NTV Video
    3,232 views

    Ripoti ya mkaguzi mkuu sasa imeonesha wazi jinsi mfumo wa kulipia huduma za serikali, ya e-citizen na nambari ya 222 - 222, ilivyotumika katika ufujaji wa pesa na malipo yasiyo halali huku fedha zikielekezwa kwenye makampuni binafsi.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya