Risasi za sabasaba

  • | Citizen TV
    1,502 views

    Familia moja eneo la Rongai kaunti ya Kajiado inadai haki ya uchunguzi huru, kufuatia risasi iliyolenga jamaa yao kusalia kwenye mkono wake wakati wa maandamano. Familia hii inadai kuwa, licha ya Nelson Madiba kuwa kwao akishuhudia tu maandamano, risasi iliyomlenga nusra imuue