22 Sep 2025 7:52 pm | Citizen TV 246 views Duration: 49s Timu ya taifa ya kandanda ya wanawake wa chini ya umri wa miaka 20 the rising starlets imerejea nchini baada ya kutoka sare ya 1-1 dhidi ya ethiopia katika mechi ya kufuzu kwa kombe la dunia iliyochezwa jijin Addis Ababa.