Rita Tinina azikwa nyumbani kwao Narok

  • | Citizen TV
    1,977 views

    Mazishi ya mwanahabari Rita Tinina yanaendelea nyumbani kwao katika eneo la Olokirikirai kaunti ya Narok. Rita alifariki baada ya kuugua homa kali ya mapafu. Alikuwa mwanahabari kwa zaidi ya miaka 25.