Skip to main content
Skip to main content

Rober Aule: Mkunga wa kiiume aliyezalisha watoto zaidi ya 600

  • | BBC Swahili
    14,057 views
    Duration: 1:34
    Rober Aule ni mkunga wa kiume aliyejizolea umaarufu kwa kuwa mkunga pekee katika eneo la Tiatu kaunti ya Baringo, Kenya. Aule amezalisha zaidi ya Watoto mia sita kwa mujibu wa rekodi za hospitalini . Ameweka kitabu maalum kinachonakili akina mama wajawazito ambao amewahudumia mpaka wakajifungua. Je ni kitu gani kiLIchomchochea kufanya kazi hii? Mwandishi wa BBC Agnes Penda alimtembelea na kuandaa taarifa hii 🎥 @brianmala #bbcswahili #kenya #tiktokkenya Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw