4 Sep 2025 12:46 pm | Citizen TV 1,987 views Duration: 4:13 Robert Alai – Mwakilishi Wadi, Kileleshwa: Gavana Sakaja alikataa kufanya kazi katika ofisi yake rasmi ya City Hall, hivyo basi inakua ngumu kuwasiliana naye au kumpata unapohitaji kusuluhisha masuala