Robinson Wekesa arejea darasa la nane ingawa alipata alama 405

  • | K24 Video
    100 views

    Wakati huohuo mwanafunzi aliyepata alama 405 na kuitwa katika shule ya kitaifa ya Kabianga amerudi katika shule ya msingi ya Mupeli Deb eneo bunge la Kanduyi kaunti ya Bungoma.