Roboti zakabiliana uso kwa uso katika masumbwi

  • | BBC Swahili
    4,297 views
    Tazama Roboti hizi zikionyesha ujuzi wa kupigana ngumi katika maonesho ya roboti yaliyofanyika Shangai China kwenye mkutano wa World Artificial Intelligence Conference 2025 #bbcswahili #china #teknolojia Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw