Rohingya : Moja ya jamii anayobaguliwa zaidi ulimwenguni.

  • | BBC Swahili
    1,448 views
    Takriban boti tano zilizobeba zaidi ya wakimbizi 800 wa Rohingya zimesafiri karibu na pwani ya jimbo la Aceh nchini Indonesia, kwa mujibu wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi. Hii ni mmoja ya uhamiaji mkubwa zaidi tangu Myanmar ianzishe msako wa kijeshi dhidi ya jamii hiyo ya watu wachache mwaka 2017. Wenyeji wamewapa wakimbizi hao chakula lakini walisema wamezidiwa kutoa msaada zaidi. #bbcswahili #indonesia #rohingya