Rose Njeri akabiliwa na shtaka la uhalifu wa mitandaoni

  • | KBC Video
    8 views

    ,Mtengezaji wa programu Rose Njeri ambaye anakabiliwa na mashtaka yanayohusiana na uhalifu wa mitandaoni ameachiliwa huru kwa dhamana ya shilingi laki moja. Njeri alikamatwa baada ya kutengeneza tovuti kwa wakenya kuwasilisha maoni yao kuhusiana na mswada wa fedha wa mwaka 2025. Mawakili wake wakiongozwa na aliyekuwa jaji mkuu David Maraga na Kalonzo Musyoka walikariri kwamba mashtaka dhidi yake yanakosa msingi kisheria pamoja na kukiuka haki zake za kikatiba. Mahakama itatoa uamuzi wake mnamo tarehe 20 mwezi Juni.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive