Skip to main content
Skip to main content

Rubani George Were aombolezwa Nairobi kwa mchango wake katika sekta ya anga

  • | Citizen TV
    622 views
    Duration: 3:09
    Rubani wa ndege iliyopata ajali Mosop kaunti ya nandi luteni kanali mstaafu george were ameombolezwa kama rubani aliyegusa maisha ya kila aliyetangamana naye. Katika ibada ya wafu hapa Nairobi, waliozungumza wamemkumbuka were kwa upole wake, umakini wake kazini na mchango wake katika sekta ya anga.