Rubani James Gitahi aliyewabeba waliokuwa marais wa nchi hii na nyingine astaafu rasmi

  • | K24 Video
    261 views

    Katika miaka 44 ya urubani, James Gitahi anajivunia kuwabeba waliokuwa marais wa nchi hii na nyingine wakiwemo Hayati Daniel Moi na hayati Mwai Kibaki. Rubani huyo ambaye amehudumu katika jeshi na shirika la Bluebird, leo amestaafu rasmi