Rubani mashuhuri anayepigana na Urusi kwa helikopta ya enzi ya Usovieti

  • | BBC Swahili
    1,633 views
    Roman 34, ni rubani wa Ukraine ambaye amekuwa akiendesha misheni ya kivita dhidi ya vikosi vya Urusi katika helikopta ya enzi ya Usovieti yenye miaka karibia sawa na umri wake ambayo haina ulinzi wala mfumo wa kisasa wa tahadhari ya makombora Ameongea na BBC na kuelezea namna anavyokabiliana na hatari ya mashambulizi katika vita hivyo. #bbcswahili #ukraine #urusi