Rubani wa ndege iliyoanguka, George Benson Kabui kuzikwa nyumbani kwao Karimen, Laikipia

  • | Citizen TV
    5,452 views

    Rubani wa ndege iliyohusika kwenye ajali iliyosababisha vifo vya maafisa kumi wa kijeshi wakiwemo jenerali Francis Ogolla, George Benson Kabui Magondu, alipata majeraha ya kichwa kufuatia ajali hiyo.