Ruiru: Wanabiashara walalamikia kubomolewa kwa biashara zao na KeNHA

  • | NTV Video
    198 views

    Mamia ya wachuuzi wanaofanyia biashara katika mzunguko wa bypass, eneo bunge la Ruiru, wanaishi na hofu ya kubomolewa biashara zao baada ya kupewa ilani ya kuondoka eneo hilo na Halimashauri ya Barabara Kuu Nchini (KeNHA).

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya