Ruku: watakaochelewa au kukosa kufika kazini kuadhibiwa

  • | KBC Video
    164 views

    Waziri wa utumishi wa umma Geoffrey Ruku sasa amewaonya watumishi wa umma wanaokosa kufika au kuchelewa kufika kazini kwamba watachukuliwa kama wafanyakazi hewa. Akiongea wakati wa ziara ya ghafla katika afisi za serikali mjini Nyeri, Ruku alikashifu utepetevu na kupuuzwa kwa muda wa kazi katika afisi za serikali, akiutaja kuwa usaliti wa imani ya umma na matumizi mabaya ya rasilimali za walipa ushuru. Mwanahabari wetu Khaled Abdullahi na uketo wa taarifa hii.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive