Runinga ya Ramogi yasherehekea mwaka tangu kuzinduliwa

  • | Citizen TV
    379 views

    Kampuni ya Royal Media Services imekita kambi katika kaunti ya Kisumu, kwa shamrashamra za kuadhimisha mwaka mmoja tangu kuanzishwa kwa kituo namba moja cha televisheni Ramogi Tv. Hatua ya kuandaa maadhimisho ya kituo hiki ambacho hupeperusha matangazo kwa lugha ya dholuo mjini Kisumu eneo la Nyanza ni kuwakutanisha watangazaji mahiri wa Ramogi na mashabiki wake mashinani