Russia ndani ya Afrika, Lavrov atua Uganda leo
Waziri mkuu wa Russia Sergey Lavrov amesisitiza kwamba Russia haihusiki kwa vyovyote vile na ongezeko la bei za bidhaa muhimu kote duniani, na kwamba taarifa hizo zinaenezwa na nchi za magharibi ili kueneza chuki dhidi yake. Amesema hayo akiwa Kampala, Uganda katika ziara yake ya nchi nne za Afrika.
Lakini balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Marekani Stavros Lambrinidis, amepuuza ziara ya Lavrov Afrika akisema kwamba ni ya kueneza uongo.
#####
Maandamano makali yakupinga uwepo wa MONUSCO imeendelea kwa siku ya pili huko Goma na Butembo vile vile kanyabayonga Kivu kasakazini. Waandamanaji wakiomba MONUSCO kuondoka.
#####
Wimbi la joto kali linaloendelea kukumba nchi za Ulaya hadi hivi sasa limesababisha vifo vya karibu watu 1 700 nchini Hispania na Ureno, wakati moto mkubwa unaendelea kuteketeza misitu ya bara hilo. Nchi za Ulaya zinashuhudia kipindi kirefu cha joto kali kuwahi kutokea wakati wa msimu huu ya kiangazi na kusababisha joto kufika viwango vya juu kabisa.
28 Mar 2024
- Police officers attached to Muthaiga Police Station seized the former CS from his house on Thursday afternoon.
28 Mar 2024
- It was noted that many businesses were affected by the tax increment.
28 Mar 2024
- The DP promised to work with CS Namwamba to solve the issues.
28 Mar 2024
- Sam Bankman-Fried was sentenced to 25 years in prison by a judge on Thursday for stealing $8 billion from customers of the now-bankrupt FTX cryptocurrency exchange he founded.
28 Mar 2024
- Joshua Waiganjo, the man who made headlines 11 years ago for allegedly impersonating senior police officers, can now breathe a sigh of relief after a Naivasha court acquitted him of all charges.
28 Mar 2024
- The government has summoned 30,000 private security guards across the country to assemble at Uhuru Park on Saturday for mass registration and issuance of Guard Force Numbers (GFNs).
28 Mar 2024
- Police have apprehended suspected notorious gang members who have been stealing from motorists along Museum Hill Road in Nairobi.
28 Mar 2024
- Pastor Dorcas Rigathi has issued a stern warning to illicit brew traders in the country, stating that she will not relent in the fight against drug abuse until all perpetrators of the vice are rounded up.
28 Mar 2024
- Police officers attached to Muthaiga Police Station seized the former CS from his house on Thursday afternoon.
28 Mar 2024
- King Charles III gave public remarks for Maundy Thursday, addressing the importance of acts of friendship, following his and Catherine, Princess of Wales’ cancer diagnoses.t The King’s audio message — which was played at the annual Royal Maundy service…
28 Mar 2024
- Lawyer Danstan Omari says former Cabinet Secretary being questioned by detectives.
28 Mar 2024
- The woman refused to comment on her husband's death when reached out.
28 Mar 2024
- It was noted that many businesses were affected by the tax increment.