Russia yafanya mashambulizi 44 ya anga Ukraine

  • | VOA Swahili
    3,905 views
    Msemaji wa Jeshi la Ukraine asema Russia imefanya mashambulizi 44 nchini Ukraine ikiwa ni pamoja na kutumia ndege zisizokuwa na rubani. Endelea kusikiliza ripoti kamili kuhusu hujuma hiyo ya Kremlin... #jeshi #ukraine #russia Kremlin #mashambulizi #ndegezakivita #droni #voa #voaswahili #dunianileo - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.