12 Oct 2025 7:41 pm | Citizen TV 998 views Duration: 1:02 Rais William Ruto sasa anasema Kenya itafikia viwango vya kimaendeleo ya mataifa ya Uchina na Singapore mwaka wa 2055, akisema anaendelea kuungana na viongozi wakuu nchini kuhakikisha taifa la Kenya linapanda ngazi hiyo.