Ruto aahidi milioni 5 na nyumba za serikali kwa Stars wakishinda Zambia na kufika robo fainali CHAN

  • | Citizen TV
    2,364 views

    KILA MCHEZAJI WA HARAMBEE STARS SASA ATAPEWA SHILINGI MILIONI 5 siku ya JUMAPILI , ENDAPO ITASHINDA MECHI DHIDI YA ZAMBIA . AKIZUNGUMZA ALIPOKUTANA NA WACHEZAJI HAO LEO ASUBUHI, RAIS RUTO, PIA AMEAHIDI NYUMBA ZA SERIKALI KWA WACHEZAJI HAO WATAKAPOFIKA ROBO FAINALI NA NUSU FAINALI KWENYE DIMBA LA CHAN