Ruto aapa kutolegeza kamba kwa mfumo wa E-Procurement akiwataka wanaopinga mfumo huo kujiuzulu

  • | Citizen TV
    489 views

    Rais William Ruto ametoa onyo kwa maafisa wa serikali wanaopinga mfumo wa kidijitali wa kutoa kandarasi. Akizungumza kaunti ya siaya, Rais Ruto amesema maafisa wa serikali wanaopinga mfumo huo wajiuzulu kazini akiongeza kuwa serikali kamwe haitalegeza kamba