Ruto adokeza doa mbalimbali katika BBI

  • | TV 47
    RUTO AWASILISHA MAPENDEKEZO YA BBI Kwa mara ya kwanza tangu ripoti ya BBI kuzinduliwa wiki jana, Naibu Rais William Ruto amewasilisha mapendekezo yake kuhusiana na mabadiliko anayotaka katika ripoti hiyo. #TV47News