2 Jun 2026 7:44 pm | Citizen TV 509 views Rais William Ruto amewahakikishia wakazi wa kaunti za Kaskazini Mashariki usalama wao akisema serikali imeongeza doria katika eneo hilo ili kufanikisha maendeleo.