Ruto ahudhuria kuhama kwa nyumbu Maasai Mara

  • | Citizen TV
    2,179 views

    Rais William Ruto amesema serikali inapania kuwa na watalii wengi zaidi miaka ijayo kufuatia hatua ya kupeperusha kuhama kwa nyumbu kutoka mbuga ya wanyama ya Serengeti hadi Maasai Mara.