Ruto amewafuta mawaziri kufuatia shinikizo za mageuzi kutoka kwa vijana nchini

  • | Citizen TV
    5,682 views

    Rais William Ruto amewafuta kazi mawaziri wake wote, kufuatia shinikizo za mageuzi kutoka kwa vijana nchini. Kwenye hotuba yake fupi kwa taifa, Rais pia amemfuta kazi mwanasheria mkuu Justin Muturi, huku akitangaza kuwa ni Naibu Rais wake na Mkuu wa mawaziri Musalia Mudavadi watakaosalia