Ruto amzawadi mwandani wake mpya mawaziri wanne

  • | NTV Video
    2,324 views

    Leo imebainika wazi kwamba ni Handisheki! Chama cha ODM kikiingia serikalini na kumaliza nguvu upande wa upinzani. Hii ni baada ya uteuzi wa mawaziri wanne kutoka chama hicho ikiwa ni ishara kuwa Raila Odinga ameamua kufanya kazi na serikali ya rais William Ruto. Je, kunani mwaka wa 2027?

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya