Skip to main content
Skip to main content

Ruto arejea Murang’a, aendeleza kampeni na kutetea utendakazi wake

  • | Citizen TV
    1,957 views
    Duration: 2:44
    Rais William Ruto sasa anasema rekodi yake ya utendakazi serikalini itampa muhula wa pili ofisini, akiwa wataka wapinzani wake kuonyesha rekodi yao wanapojipanga kukabiliana naye debe ni mwaka ujao. Rais Ruto aliyehudhuria ibada kaunti ya Murang’a alisema barabara za Mau Mau za eneo la Mlima Kenya zitakamilika mwaka ujao ili kubadilisha sura ya miundo msingi eneo hilo.