Skip to main content
Skip to main content

Ruto asema hataomba msamaha, atetea matamshi yake

  • | Citizen TV
    14,858 views
    Duration: 2:48
    Haya yakijiri, Rais William Ruto amesema kuwa hajutii matamshi yake ya hapo jana yaliyoonekana kujaa matusi na kuwadunisha viongozi wa upinzani. Rais Ruto katika siku ya tatu ya ziara yake eneo la magharibi amesema kuwa ni viongozi hao wa upinzani walioanza siasa za kumpaka tope na yuko tayari kuendelea na siasa hizo.