Ruto asisitiza sharti wawaniaji wote wa chama cha UDA wapitie mchujo

  • | KBC Video
    Naibu rais William Ruto amesema chama cha United Democratic UDA hakitatoa uamuzi wa moja kwa moja kwa mwaniaji yeyote.Ruto amesisitiza kuwa hata wabunge wa sasa sharti wapitie mchujo.Ruto aliyasema hayo allipokutana na zaidi ya wawaniaji 300 wa chama cha UDA kutoka eneo la Pwani. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #ThisIsKBC #News #UDA