- 4,642 viewsDuration: 2:33Rais William Ruto ametangaza mpango wa kupanua barabara iliyoratibiwa kuunganisha Nairobi–Nakuru–Mau Summit hadi mpaka wa Malaba kaunti ya Busia. Ahadi ya rais ikifuatia malalamishi ya wananchi walioibua maswali mengi kuhusu mfumo wa ushirikiano kati ya serikali na sekta binafsi unaotumika kufadhili mradi huo