- 2,635 viewsDuration: 2:44Rais William Ruto ametangaza kutoa shilingi milioni 18 kusaidia familia za wakimbizi wa ndani walioathirika na ghasia za uchaguzi wa mwaka wa 2007 eneo la Lanet kaunti ya Nakuru. Familia 900 zikitarajiwa kufaidi mgao huu ili kuwasaidia kuanza upya maisha yao. Aidha rais Ruto ametumia ziara hii kuwarushia vijembe wakosoaji wake wa kisiasa