- 1,333 viewsDuration: 2:43Rais William Ruto ametetea hazina ya miundombinu akisema ndio suluhu ya kukwamua maendeleo katika maeneo ambayo yametengwa tangu jadi. Akizungumza huko Mombasa, Rais Ruto pia amewataka viongozi wa vyama vya UDA na ODM kusitisha malumbano baina yao na kuweka juhudi zao kutekeleza Agenda 10 walizoafikiana ili kujiandaa kwa kipindi cha uchaguzi ujao.