Ruto atetea uamuzi wa kujumuisha viongozi wa upinzani serikalini

  • | Citizen TV
    9,835 views

    Rais William Ruto ametetea hatua yake ya kuwajumuisha baadhi ya viongozi wa upinzani ndani ya serikali yake akisema changamoto za sasa za kitaifa zinahitaji viogozi kushirikiana. ruto aliwateuwa viongozi wanne wa odm kujiunga na baraza lake la mawaziri. na kama anavyoarifu mwanahabari wetu wa masuala ya siasa Emmanuel Too, Ruto amesema amewasikiza waandamanaji na kuwa ameweka mikakati kadhaa ambayo anasema itatatua masuala yote yaliyotolewa na waandamanaji.