- 2,360 viewsDuration: 2:22Rais William Ruto ametoa wito kwa Mataifa ya Afrika Mashariki na Kusini, kuondoa VISA za usafiri kati yao ili kuboresha uchumi. Akizungumza katika kikao cha Marais wanachama wa COMESA jijini Nairobi, rais Ruto ambaye alichukua rasmi uongozi wa Jumuia hiyo, amesema ushuru wa juu ni changamoto katika uboreshaji wa biashara miongoni mwa wanachama