Ruto ausihi upinzani kutoandaa maandamano

  • | K24 Video
    274 views

    Rais William Ruto ameusihi upande wa upinzani kutoandaa maandamano kutokana na hofu kwamba maandamano yataathiri pakubwa uchumi wa taifa ambao umeteterika kwa muda. Hisia zake rais ruto zinawadia siku moja baada ya kinara wa Azimio Raila Odinga kuita mikutano za kushinikiza kupinga mpango wa kuwabandua makamishena 4 wa IEBC muungano wa Azimio umeitisha mkutano na wabunge wake hapo kesho kujadili mikakati watakayoitumia kuwaokoa makamishna hao wanne