Ruto awahimiza vijana kujisajili kuwa wapiga kura

  • | KBC Video
    Naibu rais William Ruto ametoa wito kwa vijana kuchukua fursa ya shughuli inayoendelea ya usajili wa wapiga kura kujisajili ili kutumia kura zao kama silaha ya kuwatimua madarakani viongozi wanaowatumia kama vikaragosi kusababisha ghasia. Naibu rais anadai kwamba chama cha ODM kina historia ya kusababisha vurugu, huku akihusisha chama hicho na ghasia zilizoshuhudiwa katika uwanja wa Jacaranda, Kondele na Busia,siku za hivi majuzi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #VoterRegistration #BottomUp #Ruto