Ruto awahimiza viongozi na wazee wa jamii ya Trans Mara kuongoza juhudi za kutafuta amani

  • | KBC Video
    34 views

    Rais William Ruto ametoa changamoto kwa Viongozi waliochaguliwa na wazee wa jamii kutoka eneo la Transmara, kuwa mabalozi wa amani na kuongoza juhudi za kutafuta amani katika eneo hilo linalokumbwa na mogogoro. Rais Ruto alisisitiza kuwa serikali haitalegeza kamba katika kukabiliana na migogoro ili kitoa fursa ya maendeleo katika eneo hilo. Rais alikuwa akizungumza katika kaunti ya Narok wakati wa hafla ya kutoa shukran kwa uteuzi wa katibu wa utalii Utalii John Ololtuaa. Mwanahabari wetu Wycliffe Oketch anatueleza zaidi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive