- 692 viewsDuration: 2:31Rais William Ruto amewataka vijana kuwa makini haswa wanasiasa wanapojaribu kuwashawishi wawapigie kura kwenye uchaguzi mkuu ujao. Rais Ruto alikuwa akizungumza katika kaunti ya Kakamega ambapo alitoa fedha kwa vijana kupitia hazina ya Nyota