Ruto awashutumu wabunge kwa ufisadi bungeni

  • | Citizen TV
    4,234 views

    RAIS WILLIAM RUTO SASA AMEWAKOSOA WABUNGE KWA KUHUSIKA NA UFISADI WANAPOTEKELEZA MAJUKUMU YAO. RAIS AKISEMA HATASITA KUFUNGUA ROHO KUZUNGUMZA SWALA HILI ANALOSEMA NI LAZIMA LISEMWE. AKIZUNGUMZA ALIPOFUNGUA RASMI KONGAMANO LA UGATUZI KAUNTI YA HOMA BAY, RAIS AMESEMA WABUNGE WAMEZIDISHA KUDAI MLUNGULA WANAPOFANYA UCHUNGUZI WA MASWALA MBALIMBALI YANAYOHUSU SERIKALI