Ruto awasiliana na Samia Suluhu kuhusu vikwazo vya kuwazuia wafanyi biashara wa kigeni Tanzania

  • | Citizen TV
    6,343 views

    RAIS WILLIAM RUTO AMEWASILIANA NA RAIS WA TANZANIA SAMIA SULUHU HASSAN KUHUSU UAMUZI WA SERIKALI YAKE KUWAZUIA WAGENI KUFANYA BIASHARA NDOGO NDOGO KATIKA TAIFA HILO. WAZIRI WA MASHAURI YA KIGENI MUSALIA MUDAVADI AMESEMA JUHUDI ZIMEANZA ZA KUISHAWISHI TANZANIA KUONDOA VIKWAZO HIVYO HUKU WAZIRI WA BIASHARA LEE KINYANJUI AKISEMA MKUTANO UTAFANYWA WIKI IJAYO KATI YA WAWAKILISHI WA SERIKALI HIZI KUTAFUTA MWAFAKA