- 2,638 viewsDuration: 3:14Rais William Ruto amewataka vijana kuunga mkono miradi ya serikali inayoendelea kama njia ya kuwezesha kenya kufikia mataifa yaliyostawi duniani. Ruto aliyehudhuria hafla ya kufuzu kwa askari jela zaidi ya elfu tatu eneo la ruiru ameshtumu migawanyiko ya siasa inayozidisha joto nchini. Naibu wake kithure kindiki naye akizungumza kaunti ya nyeri amewarai vijana dhidi ya kutumiwa vibayana wanasiasa