Skip to main content
Skip to main content

Ruto awataka viongozi wazingatie utendakazi, akosoa upinzani kwa kugawa wananchi

  • | Citizen TV
    1,934 views
    Duration: 2:28
    Rais William Ruto ametoa wito kwa viongozi kuzingatia utendakazi ambao amesema itakuwa tikiti tosha kwa wale wanaopania kuwania viti vya kisiasa kwenye uchaguzi ujao. Akizungumza kaunti ya Kajiado, Ruto alikashifu vikali mrengo wa upinzani akisema wanawagawanya Wakenya bila kutoa mwelekeo kuhusu uchumi wa taifa.