Ruto awahimiza Mudavadi na Wetangula kutolegeza msimamo wao

  • | KBC Video
    Naibu rais William Ruto amepeleka kampeini za muungano wa Kenya kwanza magharibi mwa Kenya huku akiwahimiza Musalia Mudavadi wa ANC na Moses Wetangula wa Ford kenya kutolegeza msimamo wao.Ruto alisema amestahimili masaibu mengi katika kipindi cha miaka minne iliyopita bila kutikiswa. Achola Simon anatusimulia zaidi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #Mudavadi #Wetangula #Ruto