Ruto kutanua usajili wa NYS hadi laki moja kwa muda wa miaka mitatu

  • | Citizen TV
    515 views

    Rais William Ruto ametangaza kuwa zoezi la kuwasajili vijana kwenye idara ya NYS itaimarishwa kutoka elfu kumi na nane hadi laki moja katika muda wa miaka mitatu ijayo