15 Jan 2026 12:23 pm | KBC Video 371 views Duration: 3:20 NYOTA IN MACHAKOS Ruto : Ujuzi na talanta za vijana zitabadilisha hii nchi. Mtu akitaka mtu wa kutupa mawe, atumie mtoto wake, asitumie hawa vijana wa Kenya. Vijana wa Kenya sio mashine ya kupiga tu kura. #KBCniYetu