Skip to main content
Skip to main content

Ruto: Mwekezaji Rostam Aziz aliponitembelea niliwaambia Wakenya ni Mtanzania na ni mwenzetu

  • | KBC Video
    157 views
    Duration: 1:23
    President Ruto: Wakati Rostam Aziz alinitembelea, akaniuliza kwamba angependa kujenga Taifa Gas kule Mombasa, lakini alikuwa na shida na watu walikuwa wanamzungusha. Nikawaambia Wakenya kuwa mwekezaji huyo kutoka Tanzania ni mwenzetu, anatuletea pesa. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #Kenya #News