Ruto na Gachagua wazuru eneo la Mlima Kenya

  • | K24 Video
    144 views

    Naibu rais William Ruto ametetea hatua yake ya kumteua mbunge wa Mathira, kaunti ya Nyeri, Rigathi Gachagua kama mgombea mwenza wake katika kinyanganyiro cha urais mnamo Agosti 9 mwaka huu. Ruto aliyehudhuria mazishi ya nduguye Gachagua , Reriani Gachagua amepuuzilia mbali chaguo la mpinzani wake wa Azimio Raila Odinga akidai kuwa Raila na Karua bado wanazingatia zaidi historia.