- 1,966 viewsDuration: 2:59Rais William Ruto na gavana wa Nairobi Johnson Sakaja wamepigia debe ushirikiano wao wa kimajukumu huku wakiungana leo kukagua mradi wa ujenzi wa bomba la maji taka kando ya mto Nairobi katika eneo la Lucky Summer. Rais akitumia fursa hiyo kuwakashifu viongozi wa upinzani kwa kutishia kufanya maandamano siku ya ijumaa